Hahahah samatta ni man utd die hard fan..kama ulikuw hujuiAkaze buti dogo msimu ujao Gunners tumsajili...huyu dogo yuko ki gunners Zaidi..kila la kheri dogo kaza buti hadi kieleweke mwakani utue Imarati.
Hahahah samatta ni man utd die hard fan..kama ulikuw hujuiAkaze buti dogo msimu ujao Gunners tumsajili...huyu dogo yuko ki gunners Zaidi..kila la kheri dogo kaza buti hadi kieleweke mwakani utue Imarati.
Lugha gani hio? Mi najua GAMMONMimi mwenyewe alimanusura leo nikile kitimoto bahati tu nikaona jina ''Jambon'' nikashtuka du jamaa aka apologise sana ila mwishoni akasema you can eat the rest ...mhhhh wakati zimechanganyika.... nimeshinda njaa ila jioni nimekandamiza mikate mikavu na nyanya mbichi Ulaya kwa misosi shida aisee .. tumezoea supu kwa mangi na chapati au vitumbua kwa mama semeni.........by the way samata kama uko humu JF kakao niko Bordouex hapa France karibu ila weekend ijayo narudi home
lugha hapo atajiona anatengwa bure
Amekaa upande wa kulia wa aliyevaa sweta lenye picha ya mask meza ya kwanza, kaegemeza mgongo kwenye kiti na kavaa kofia kaigeuzia nyuma.Adi kumpata kwenye picha ni kama quiz
watu wachache sana hawajawahi kula hii kitu wengi wanakula bila kujua na wanarudia tena na tena.... kwa kunogewa na utamu wake.....Mimi mwenyewe alimanusura leo nikile kitimoto bahati tu nikaona jina ''Jambon'' nikashtuka du jamaa aka apologise sana ila mwishoni akasema you can eat the rest ...mhhhh wakati zimechanganyika.... nimeshinda njaa ila jioni nimekandamiza mikate mikavu na nyanya mbichi Ulaya kwa misosi shida aisee .. tumezoea supu kwa mangi na chapati au vitumbua kwa mama semeni.........by the way samata kama uko humu JF kakao niko Bordouex hapa France karibu ila weekend ijayo narudi home
Lugha gani hio? Mi najua GAMMON
Ndio huyo mwenye nywele kiduku,mbona samata Ana sura ngumu huyo hapo Ana kasura kalaini
ok ndio hio hio uandishi na matamshi tuNi Jamon mkuu (lakini hiyo J inatamkwa tofauti, kwahiyo isomeke kama 'Khamon')
Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.
Huko ni angani. Kiti moto ni halali.Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.
Haitashangaza kusikia hivyo....!Utasikia wakenya wanasema Samatta ni mkenya
Atafute demu wa Kibelgiji aoe mwenye uwezo, kisha abadili maisha fasta... sbb mpira una muda mfupi sana kuwa kileleni...
wacha kutuzuga sio yeye, mleta mada umetuingiza mkengeniAmekaa upande wa kulia wa aliyevaa sweta lenye picha ya mask meza ya kwanza, kaegemeza mgongo kwenye kiti na kavaa kofia kaigeuzia nyuma.