Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
1. NIKITAKA MASHINE NI BEI GANI?
2. JE USINDIKAJI WENU NI TOFAUTI NA WA VIWANDA VYA SAMAKI WA KUGANDISHA KWA MAFRIJI?
3. FAFANUA KIDOGO HIYO TECHNOLOJIA NA BAADA YA KUSINDIKA SAMAKI ANAKUA FRESH KWA MUDA GANI NA JE NI SAMAKI WABICHI AU SALIOKAANGWA?
1.Asante Sana mkuu, machine zinatofautiana Bei kulingana na ukubwa wa machine na matakwa ya mteja ama anataka full stainless au galvanized.1. NIKITAKA MASHINE NI BEI GANI?
2. JE USINDIKAJI WENU NI TOFAUTI NA WA VIWANDA VYA SAMAKI WA KUGANDISHA KWA MAFRIJI?
3. FAFANUA KIDOGO HIYO TECHNOLOJIA NA BAADA YA KUSINDIKA SAMAKI ANAKUA FRESH KWA MUDA GANI NA JE NI SAMAKI WABICHI AU SALIOKAANGWA?
ππ Sasa mbona umeenda kuweka kambi Geita ukaacha Kagera, Mara na Mwanza wanakolimwa na kuuzwa samaki?1.Asante Sana mkuu, machine zinatofautiana Bei kulingana na ukubwa wa machine na matakwa ya mteja ama anataka full stainless au galvanized.
200kg capacity galvanized full automatic ni 3 million lakini ambayo sio automatic Ni 2.5million. zipo za Bei juu ya hapo na chini ya hapo pia.
2. Usindikaji wetu Ni tofauti ndio sisi tunakausha kwa kutumia umeme na gas katika joto ambalo linakuwa controlled. Wakisha kauka hukaa muda mrefu zaidi ya mwezi pasi haribika na mteja akitaka samaki wa kukaa zaidi ya mwaka mmoja pia inawezekana ilimradi asiwaweke kwenye maji ama unyevunyevu.
3. Samaki unaowaona hapo kwnye picha hawaja kaangwa Wala kuwekewa mafuta Bali wamekaushwa kwa kutumia huwa moto ambayo ipo controlled. Samaki hao hawapotezi Radha yake hata wakikaa muda mrefu ili mradi tu wasimwagiwe maji.
hapa namm najiulizaππ Sasa mbona umeenda kuweka kambi Geita ukaacha Kagera, Mara na Mwanza wanakolimwa na kuuzwa samaki?
Asante Sana mkuu: niliamua kuweka kambia Geita kwasababu Kuna samaki wanatokea nkome,chato, senga hivyo Bei ya samaki ipo chini ukilinganisha na mwanza. Kwenye mpango kazi niliona Ni vyema kuanzia geita na machine ya Kwanza ipo geita vijijini. Lengo kubwa Ni kuifikia jamii kubwa ya watanzania mkoa wa mara,bukoba, mwanza, kigoma vyote vipo kwenye plan lakini huwezi kuanza pote kwa wakati mmoja ila ndani ya muda mfupi tutafika huko.hapa namm najiuliza
sawa bosi nimekuelewa.Asante Sana mkuu: niliamua kuweka kambia Geita kwasababu Kuna samaki wanatokea nkome,chato, senga hivyo Bei ya samaki ipo chini ukilinganisha na mwanza. Kwenye mpango kazi niliona Ni vyema kuanzia geita na machine ya Kwanza ipo geita vijijini. Lengo kubwa Ni kuifikia jamii kubwa ya watanzania mkoa wa mara,bukoba, mwanza, kigoma vyote vipo kwenye plan lakini huwezi kuanza pote kwa wakati mmoja ila ndani ya muda mfupi tutafika huko.
Asante Sana kwa ushauri wako