Samaki wa Magufuri kugawiwa bure kesho kutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samaki wa Magufuri kugawiwa bure kesho kutwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Nov 10, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wale samaki waliokamatwa, wataanza kugawiwa kesho kutwa kwa wale waliotuma maombi tu, Waziri Maghufuri ametamka hayo leo hii muda mfupi uliopita,

  Sijui kiafya kama zimekaguliwa na wataalamu,
   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Wizi mtupu!
   
 3. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanadai eti wakiwauza, kuna uwezekano wa maalamia waliowatuma kuwanunua, na ni vyema watanzani wakafaidi maliasiri yao,

  Kwa hiyo walisubili watuvulie ndio tupate kufaidi maliasiri yetu?
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Sasa siku zote hizo walikuwa wanangoja nini kuwagawa??
   
Loading...