Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 915
- 54
Lile zoezi la kuuza samaki maalufu kama samaki wa Magufuli, lililokuwa lifanyike leo, limeshindikana kutokana na kukosekana mizani ya kupimia hao samaki.
Wizara imeomba pesa serikalini kwa ajili ya kununulia mizani hiyo, ambao kila mmoja unagharimu sh, 300,000/=, na magari ya kubebea hao samaki.
Wizara imeomba pesa serikalini kwa ajili ya kununulia mizani hiyo, ambao kila mmoja unagharimu sh, 300,000/=, na magari ya kubebea hao samaki.