Samaki wa kukaanga(Sato)

Fahari

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,044
Reaction score
698
Wadau
Kwa wenye migahawa & hotel, tunauza Sato waliokaangwa toka Mwanza.Samaki wetu wanakaangwa kulekule mda mfupi baada ya kuvuliwa hivyo wanabaki na radha yake ileile tofauti na hawa wanaohifadhiwa kwenye majokofu.Tunaweza kuleta kiasi chochote kulingana na mahitaji ya Mteja.Malipo pindi tu mzigo ukiwasili.Ni Sato waliokaangwa sio wabichi.0719414175
 

Japo picha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…