Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam alitakiwa ajieleze mbele ya bunge kuhusu Richmond. Sasa kama hajaleta maelezo yoyote yanayomsafisha ndio issue imekwisha?!

Unaiba hela za wananchi, unaambiwa utoe maelezo unaamua kutukana. Hakimu anasema...."Maelezo yake hayana kipya". Whatz next?!!

Case dismissed...
 
Mmhhhhhhh!
watz tulieni,kikosi chetu kinajiandaa vya kutosha,siku ya siku patakuwa padogo ndani bongo.Walahi tena, mafisadi,wahindi,waarabu,na washenzi,n.k wote watalia na kusaga meno.
 
huyu mu-Iran ana nini?ameegemea wapi?why anajiamni namuna hii?haya ni matunda ya CCM,hakika sioni sababu zilizompa ubunge huyu jamaa,CCM mnatupeleka wapi?why india na arabia hakuna watz viongozi ndani ya serikali zao kule?hivi haya maviongozi yetu hawalioni hili?muna matatizo gani?mmesahau mtatoa hesabu mbele za MUNGU?
Huyo RA wamkabidhi kwa Mr.Kichaka apewe dose.
Me nikimuona/nikikutana nae najitoa muhanga(najilipua) kwa faida ya watz.
MUNGU shuka shuka tena shuka uwaangamize mafisadi,wahindi,waarabu na wageni wote wanahujumu uchumi wetu.Amen.
 
Tanzania, Tanzania,
Nakupenda Kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania,
jina lako ni Tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe,
Niamkapo ni heri mama we
Tanzania Tanzania,

nakumbukia like chozi la JK katika msiba wa Baba wa Taifa!!
Kwa kweli aliniimpress, ndio sababu nilimpa kura, nilidhani kuwa anaipenda kweli tanzania kwa moyo wote.
 
Afukuzwe ubunge, anyang'nywe pasport,achunguzwe uraia na afunguliwe mashita kibao yanayo mkabili,
 
huyu mu-Iran ana nini?ameegemea wapi?why anajiamni namuna hii?haya ni matunda ya CCM,hakika sioni sababu zilizompa ubunge huyu jamaa,CCM mnatupeleka wapi?why india na arabia hakuna watz viongozi ndani ya serikali zao kule?hivi haya maviongozi yetu hawalioni hili?muna matatizo gani?mmesahau mtatoa hesabu mbele za MUNGU?
Huyo RA wamkabidhi kwa Mr.Kichaka apewe dose.
Me nikimuona/nikikutana nae najitoa muhanga(najilipua) kwa faida ya watz.
MUNGU shuka shuka tena shuka uwaangamize mafisadi,wahindi,waarabu na wageni wote wanahujumu uchumi wetu.Amen.

TATIZO KUBWA NI SISI WANANCHI TUNAOYAPIGIA KURA HAYA MAGABACHOLI-TUFIKE MAHALI TUAMKE KAMA TULIPOTEA TUSIENDELEE KUPOTEA, WAKATI NI HUU!!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyu mu-Iran ana nini?ameegemea wapi?why anajiamni namuna hii?haya ni matunda ya CCM,hakika sioni sababu zilizompa ubunge huyu jamaa,CCM mnatupeleka wapi?why india na arabia hakuna watz viongozi ndani ya serikali zao kule?hivi haya maviongozi yetu hawalioni hili?muna matatizo gani?mmesahau mtatoa hesabu mbele za MUNGU?
Huyo RA wamkabidhi kwa Mr.Kichaka apewe dose.
Me nikimuona/nikikutana nae najitoa muhanga(najilipua) kwa faida ya watz.
MUNGU shuka shuka tena shuka uwaangamize mafisadi,wahindi,waarabu na wageni wote wanahujumu uchumi wetu.Amen.

Ndo kilichobaki..tuchukue sheria mikononi na tuwaambie FBI kwamba huyu mtu ni terrorist..anawapotosha watanzania...the country will thank us later...
 
-KAMATI TA UONGOZI YA CC YAMZUIA
-MWENYEWE ASEMA ALIJIAANDAA KUSEMA
-ATAMBA ANA VIELELEZO KAMILI

Kamati ya uongozi ya chama cha mapinduzi imemzuia mbunge wa Igunga Rostam Aziz kuwasilimisha maelezo yake binafsi bungeni kwa muda wa mwaka mmoja.

Kikako cha kamati kilichofanyika jana uamuzi huo umechukuliwa kutokana na kile kinachoelezwa kulinda maslahi ya chama ((UFISADI))...

KABLA YA KUFIKIWA UAMUZI HUO ROSTAM alikabidhi maelezo yake binafsi kwa spika kabla ya kufikiwa uamuzi huo..

Habari zaidi zinaeleza hatua hiyo imezusha gumzo bungeni kunani mbunge afikiwe tamati hiyo na hivyo kuingilia uhuru wa mbunge akiwa bungeni...habari zaidi zinasema jamaa mmoja alie karibu na Rostam amesema hatua hiyo imefikiwa kulinda heshima ya bunge na si chama peke yake ...[mmmhhhh PATAMU HAPO....]

KIKAO HIKO KIMEAFIKI ROSTAM ASIWASILISHE MAELEZO YAKE BINAFSI BUNGENINA HABARI ZAIDI ZINASEMA MBUNGE HUYO AMEAKATAA UAMUZI HUO NA HIVYO KUAPA KUSAFISHA JINA LAKE KWA KUELEZA UKWELI HALISI UKIWA NA VITHIBITISHO..HATUA HIYO ILIFANYA MH ROSTAM KUONDOKA DAR ES SALAAM NA KUREJEA DAR ES SALAAM BAADA YAKUONA HAKUNA UHAKIKA WA KUWEZA KUWASILISHA TAARIFA YAKE BUNGENI... HABARI ZAIDI ZINAELEZA MAELEZO YA ROSTAM YANGEWEZA KULETA MTIKISIKO ZAIDI YA ULE ULIOTOKEA KWA LOWASSA mmmmh hh mi chichemi hapa
inaelezwa kuna mambo makubwa yanafichwa katika hili na hivyo kuleta mgongano wa kimaslahi na wengine kukiri maelezo yake nyangeitikisa nchi vibaya sana......,hatua ya kulazimisha kuandika maelezo yake ilimshangaza sana baada ya kumuuliza spika je waliokuwa wanatoa mada kwenye swala la richmond walimwandikia barua na kujibiwa akamuulize waziri mkuu ...yeye amepokea oda toka kwa waziri mkuuu pinda....

JAMANI PINDAAAA PINDA PINDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA ANGALIA NDUGU YANGU WATAKUPINDISHA KUMBUKA ULICHOAPA SIKU UNACHAGULIWA MI SIPO...KWENU WANA JF;KWANINI WAMEMNYIMA NINI KIKO NDANI NA PINDA UMEFANYA NINI MWENYE JIBU ANAKARIBISHWA.......

MBIU:::::::::::UFISADI USAFISHWE BUNGENI

UFISADI SI KUIPA PESA EPA HATA KUMYIMA MTU HAKI YAKE!!!
"U MAY CHAIN THE TOUNGUE OF MEN BUT YOU CANT TOUCH THEIR MIND"
 
Mimi naona hapa tunataka kuingia katika mtego ambao tumetegewa na Serikali ya CCM ili waonekane wao wazuri na Rostam peke yake ni mbaya, je Rostan kavunja benki? au alifanya deal ya Richmond peke yake?

Tuache jazba na mawazo ya ukabila, hayo mambo yamepitwa na wakati, katika kila kabila na jinsia kuna wazuri na wabaya sasa tusianze kuanza kuitana kwa majina ambayo tumeshasahau kama Magabacholi NK.

Ndugu Spika anataka kutushinda kisiasa atugombanishe wananchi wenyewe kwa wenyewe ili tuache kufukiria suala ambalo ni muhimu la UFISADI.

Kuna ubaya gani Rostam hata kama atakua ni mfisadi nae akatoa maelezo yake, tunaanza kumhukumu hata hatujayaona au kusikia alichoandika.

Itakua vizuri watuwekee wazi utetezi wake hapo ndipo waanze kuchambua makosa yaliomo, sio kuwa wakali kumwambia tu ajiuzulu.

Ufisadi katika CCM umewafikia shingoni sasa hii ni mbinu mojawapo wanayotumia kutaka kuizima hii kashfa ya UFISADI. Mimi naona kwa faida yao kuikabili suala hili la ufisadi kwa UWAZI na UKWELI.
 
Kwa mara nyingine tena CCM imeonyesha woga kuumbuka! Walitoka Butiama kwa mikogo, kumbe ni mafisi! ukweli ni vibaka watupu!

Kama kuna watakaodai wao ni CCM asili ni wapinga Ufisadi, basi nao waondoke na kuanzisha chama chao na kuwaachia mafisadi CCM koko!

Ni nani hao wenye ujasiri wa kumuacha sisiemu ambaye ni "MAMA YAO?"
 
Kwa kutumia Kanuni za Bunge, Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ameyazuia maelezo ya Rostam kwa kwa kile kinachoelezwa na watoa habari wetu kwamba ni kulinda maslahi na hadhi ya Bunge, lakini pia “kulinda mshikamano ndani ya Bunge na ndani ya CCM”.

Uamuzi wa kumzuia Rostam kuwasilisha maelezo yake ulifikiwa baada ya vikao vya wabunge wa CCM wakiongozwa na Kamati ya Uongozi ya Wabunge wa chama hicho na baadaye kamati ya wabunge wote wa CCM. Rostam ni mjumbe wa vikao vyote kutokana na wadhifa wake wa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

Pamoja na kutowekwa hadharani kwa maelezo ya Rostam, yeye mwenyewe amenukuliwa katika baadhi ya vyombo vya habari akisema kwamba alikuwa na maelezo yenye nguvu na ambayo yangebainisha kuwa yeye ni mtu safi ambaye hakuhusika kwa namna yoyote na mkataba wa Richmond pamoja na kuwa na uhusiano wa kibiashara na kampuni iliyorithi mkataba huo ya Dowans.

Wana JF Haya maelezo ya RA yaelekea ni mazuri kuyapata hapa "tutayapataje mwenye nukunuku ayaweke hapa tayachambue Fisadi kiongozi huyu"
 
CCM ni waoha nadhani wamesha choma kia kitu.Maana nadhani hata wabunge hawana copy tena maana wanajua is matter of minutes JK wataweka hapa .
 
kwa kweli mimi nawashangaa. kama kweli rostam ni jasiri kiasi hicho, yaani kuandika maelezo yanayoweza kuitikisa nchi ameshindwa kuyachapisha kwenye gazeti lake la rai la leo? au alinyimwa kibali cha kwenda mwembeyanga? tuelewane jamani hawa wahindi hawaendi jela hapa tanzania na ndiyo maana michezo michafu kwao ni michezo tu. si huyu huyu rostam aliyemo kwenye kagoda agricultuer (eti ni ya manji!), si ndiye huyu huyu wa deep green finance? hayumo richmond huyu? mna uhakika hayumo kwenye radar? na si ndiye huyu aliyempa rafiki yake, mzee wake uenyekiti wa bodi ya vodacom na posho ya milioni hamsini kwa mwaka. au mmekubali kuacha wivu wa kike. hivi jamani kuna kebehi kubwa kama ya mzee yule kukubali rushwa hadharani wakati akiwa spika wa bunge. sasa vipi tena mshangae ujasiriamali wa mkapa?
 
Na bado akimaliza issue ya Richmond (ambayo inalipwa na serikali ya Kikwete mamilioni ya pesa kila siku), inabidi pia aelezee utata wa uraia wake na jinsi alivyopata passport ya Tanzania na nchi zingine mbili (kitu anachojua kuwa ni kinyume cha sheria).
 
nionavyo ni kuwa CCM wanajua njia zoote za kuwabana ili uwaumize, so mi naona kuwa hata hivyo walivyowataja kina lowassa na RA ni kuwa walitaka tu nao waonekane kama vile wanachukizwa na ufisadi pamoja na rushwa...so sioni la ajabu kwa hawa watu, ni kama series vile jinsi nchi inavyoongozwa
 
Kwa kutumia Kanuni za Bunge, Spika wa Bunge, Samuel Sitta, ameyazuia maelezo ya Rostam kwa kwa kile kinachoelezwa na watoa habari wetu kwamba ni kulinda maslahi na hadhi ya Bunge, lakini pia “kulinda mshikamano ndani ya Bunge na ndani ya CCM”.

Uamuzi wa kumzuia Rostam kuwasilisha maelezo yake ulifikiwa baada ya vikao vya wabunge wa CCM wakiongozwa na Kamati ya Uongozi ya Wabunge wa chama hicho na baadaye kamati ya wabunge wote wa CCM. Rostam ni mjumbe wa vikao vyote kutokana na wadhifa wake wa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

Pamoja na kutowekwa hadharani kwa maelezo ya Rostam, yeye mwenyewe amenukuliwa katika baadhi ya vyombo vya habari akisema kwamba alikuwa na maelezo yenye nguvu na ambayo yangebainisha kuwa yeye ni mtu safi ambaye hakuhusika kwa namna yoyote na mkataba wa Richmond pamoja na kuwa na uhusiano wa kibiashara na kampuni iliyorithi mkataba huo ya Dowans.

Wana JF Haya maelezo ya RA yaelekea ni mazuri kuyapata hapa "tutayapataje mwenye nukunuku ayaweke hapa tayachambue Fisadi kiongozi huyu"

Rostam hana maelezo yoyote ila anatikisa kiberiti ili apate sababu ya kudai kuwa alizuiwa kuongea bungeni. Hii pia ni moja ya michezo ya mzee wa vimada (Sitta) kuvuruga shughuli za bunge kwa hoja na mambo ya ajabu.

Kama Rostam ana hoja, aitishe mkutano wa hadhara au akutane na waandishi pale maelezo kisha atoe nafasi ya kujibu maswali yote yatakayoulizwa.
 
QUOTE=mwafrika wa kike;176600]Rostam hana maelezo yoyote ila anatikisa kiberiti ili apate sababu ya kudai kuwa alizuiwa kuongea bungeni. Hii pia ni moja ya michezo ya mzee wa vimada (Sitta) kuvuruga shughuli za bunge kwa hoja na mambo ya ajabu.

Kama Rostam ana hoja, aitishe mkutano wa hadhara au akutane na waandishi pale maelezo kisha atoe nafasi ya kujibu maswali yote yatakayoulizwa.[/QUOTE]

Dada MWAFRIKA WA KIKE, waniacha hoi, SITA aka Mzee wa Vimada!!! Lakini na hao wanawake wenzetu wanatafuta nini kwa huyo mzee, si wamwache afurahie ndoa yake iliyotimiza miaka 40. Au ndiyo wanachuna BUZI, tena buzi la Vingunguti la kuchunwa kwa MSUMENO. Makubwa!!!!
 
Hilo ni swali ambalo wanaweza wakaulizwa wao pia kwa muda wao. Kwa sasa swali ni kuwa Sitta anafuata nini kwa hao kina dada?
 
Asante dada kwa maoni yako yanayolenga kwenye kina cha tatizo. Sasa turudi kwenye mada: Mimi naona CCM imekosea sana kumshinikiza RA asitoe maelezo ya kina kuhusu RICHMOND. Naamini kuwa, deal hili tangu inception yake huyu RA anaijua. Wasingemtia hii kabali angetupa mwanga mwingi kuhusu RICHMOND iliingiaje TZ, DOWANS iliitwaje kuja kuokoa aibu ya RICHMOND, kwa nini RA alikuwa anakuwa kila wakati kimbelembele kufuatilia cheque ya DOWANS kila inapochelewa, kwa nini DOWANS walipoingia TZ walitumia email/ofisi za CASPIAN, na mengi tu. Hata hivyo sitegemei kuwa CCM watamwita akajieleze kama walivyomfanyia Horace Kolimba wakati ule, tusubiri.
 
Back
Top Bottom