Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 183
Vipi wanaliwa hao samaki?
Hao ni KOI fish kama sikosei
Wapo pale Kariakoo jamaa wanauzia kwa wenye mabwawa,ngoja nikipata jina la mtaa nitakupa.Bei yake ndefu kiasi kwa Pair
Kwa wale mlio Zanzibar ukienda pale Zanzibar Beach Resort wamafungwa.
Hapana hapa Zanzibar wapo kama Decoration pale hotel kwenye pond yao maalum.Nitashukuru kwa msaada wako,hapo zanzibar beach resort wanauza pia au? nataka kufahamu hapo wanapo patikana. Msaada wako. Ahsante
Hawa ni wamapambo tu kwe Ponds za nyumbani,sijashuhudia mtu akiwala.
Unaweza kuwala kwa majaribio kisha ukajaribu pia kula Kunguru kwa majaribio pia.Then utupe result maana hasa Kunguru wanakera sana,akitokea mtu wa kujaribu kuwala kisha akitupa matokeo mazuri basi Zanzibar tutakuwa matajiri muda sio mrefu kwa Biashara ya Kunguru
In a few countries like Lithuania, the bird was used a food source only when food was scarce. It was cooked into a large variety of dishes, but, with a rise in income levels, consumption of crow meat gradually reduced.
Recently, the meat has acquired a reputation of being an aphrodisiac. As a result, active hunting of the bird for its meat has increased. In America, hunting crows to cull their numbers is allowed from August to March.
Hawa ni Koi mkuu, mimi pia nawahitaji, katika kusearch nimekutana nathread hii japo ya zamani lakini ningependa kufaham kama wewe mwenzangu uliwapata unijulishe uliwapata wapi na mimi nahitaji.Naomba kupata msaada samaki wa aina hii wanapatikana wapi Tanzania, koi fish. na gharama gani? Kama hakuna ikiwa nitagiza nje kama Brazil, Nitahitajika kuwa na health certificate?
Langi=Rangi.Wanapatikana Mbagala langi tatu...