Samaki sasa ni kama madawa ya kulevya kanda ya ziwa

Ahahahaaaaa unaishi karibu na ziwa ila unapigwa marufuku kula samaki, kuleni michicha muongeze damu
 
Hii kamata kamata ingekuwa inafanyika mikoa Fulani kule kasikazini,wangesema Mzee baba anabagua,anachuki binafsi na wazee wa kupiga mbege,ila kwa vile inafanyika kanda ya ziwa,geita,Mwanza,msoma,hapo hamna neno,wacha ipate,hata watetezi wa bavicha hutawasikia hapa wakitia neno,
 
sikitarajia jipya toka kwenye serikali ya wazir wa zamani tena mwenye record mbaya kwenye administration kama huyo magufuli.
 
Umeeleweka mkuu ila maandishi yako yana typo's nyingi..review your thread
 
Kabla haujakumbwa na hizi kadhia zinazoendelea waweza fikiri ni maigizo tu yanafanyika, lakini ndio hali halisi ilivyo..
Watu wanalegezwa viwiko & magoti pasipo huruma kabisa...
Samaki si samaki tena, wamebandikwa majina mengi mengi (mf. Waxi..Vitenge)....Ukisikia mzigo mpya wa waxi umeingia, wenyeji wanajiongeza.....
 
Duh hatari
 
kama ni kanda ya ziwa siwaonei huruma. wafungwe pingu za mikono na miguu na wapigwe mijeledi. huyu mtu wao kafanya kanda zingine ziichukie kanda ya ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…