Tetesi: Kupata samaki Kanda ya Ziwa ni kama Almasi, waziri ndivyo tumekuwa tukiishi siku zote?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,335
5,184
Inauma sana tunakoelekea, hata kma ni kutaka sifa za vyeo lkn tutaumizana kwa style hii. Nasema ni kama tetesi kwa savabu siamini hiki nilichoambiwa, labda nipate na uthibitisho kutoka kwa watu wa humu jukwaani ambao wameenda huko na kushuhudia hii hali. Iko hivi, Kuna rafiki yangu yuko huko kanda ya ziwa, nimemwambia ukiwa unarudi mkuu, nikutumie hata ka ten unichukulie hata dagaa (vimena), jibu alilonipa ni kwamba gari ikipigwa mkono, unashuka na begi lako kukaguliwa hivyo anaogopa kuchukua chchte kwa jina la samaki kutoka kanda ya ziwa, je, hivi nyie mnaotufanyia hivi mnataka wananchi wa kawaida tuishije, hata dagaa ni ishu sasa, hadi imeshoot bei juu, hlf Waziri anayehusika anatokea huko huko kanda ya ziwa, amejitoa ufahamu bila kujua kuwa watu wa hiyo kanda tegemeo lao kubwa ni samaki..niishie hapo.
 
Mpaka wote tuishi kama mashetani ndiyo tutajitambua
 
Dagaa ni adimu sana. Nipo Mwanza, nilizoea kila ninapoenda kwetu kununua dagaa. Juzi ndogo ambayo nilikuwa nanunua sh 15,000, nimenunua kwa sh 45,000.
 
Walimchagua wenyewe, wakapiga pushup wenyewe na kumtukana mwenzie wenyewe hivyo wacha waipate ingawa na mimi naipata kama wao. Siku hizi kanda ya ziwa nyama ni bei chee kulinganisha na sato mmoja mdogo wa kuliwa watu wawili. Naomba samaki wote wahamie Kenya na Uganda ili tukose wote kuliko sisi tusile samaki na warusi waendelee kuleta madege yao na kusomba samaki wetu.
 
Mimi naishi Kanda ya Ziwa hakuna taarifa kama hiyo. Mhe.Mpina kaza kamba ili samaki waongezeke.
 
Inauma sana tunakoelekea, hata kma ni kutaka sifa za vyeo lkn tutaumizana kwa style hii. Nasema ni kama tetesi kwa savabu siamini hiki nilichoambiwa, labda nipate na uthibitisho kutoka kwa watu wa humu jukwaani ambao wameenda huko na kushuhudia hii hali. Iko hivi, Kuna rafiki yangu yuko huko kanda ya ziwa, nimemwambia ukiwa unarudi mkuu, nikutumie hata ka ten unichukulie hata dagaa (vimena), jibu alilonipa ni kwamba gari ikipigwa mkono, unashuka na begi lako kukaguliwa hivyo anaogopa kuchukua chchte kwa jina la samaki kutoka kanda ya ziwa, je, hivi nyie mnaotufanyia hivi mnataka wananchi wa kawaida tuishije, hata dagaa ni ishu sasa, hadi imeshoot bei juu, hlf Waziri anayehusika anatokea huko huko kanda ya ziwa, amejitoa ufahamu bila kujua kuwa watu wa hiyo kanda tegemeo lao kubwa ni samaki..niishie hapo.
Anatokea kanda ya ziwa lakini anatokea huko meatu kwa mjibu wa msukuma wao wanakulaga mapanki na kayabo plus wale Samaki wagumu kutoka kwenye matope ya mto simiyu,hivyo haujui utamu wa Samaki.
 
Aliishasema tangu akiwa waziri kuwa Ikitokea hata kwa bahati mbaya akawa Rais wa nchi hii wananchi watalimia Meno Na kweli Tunalimia meno
 
Back
Top Bottom