Kama ni kweli CCM wengi hawaponi vita ya madawa ya kulevya

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Kama swala hili la madawa ya kulevya litachukuliwa kwa kumaanisha kama inavyotangazwa na viongozi wa serikali basi makada wengi muhimu hawaponi.

Itakuwa rahisi kupinga ukweli hapa kwenye mtandao lakini kama vita hii haitakuwa na mlengo wa kisiasa. Makonda amesema watafukua makaburi tangu utawala wa Mwinyi hadi JPM ni nani watakao pona?

maana hao ndio wamekuwa wafadhili wa CCM siku zote sasa tutarajie makada wengi wa CCM kufikishwa mahakamani
 
Back
Top Bottom