Samaki sangara wenye ladha wameadimika

Samaki sangara wenye ladha wameadimika

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
806
Reaction score
2,575
Kama serikali mmelifunga ziwa victoria kwa uvuvi haram na mkisubkri wazaliane tena basi siku mkilifungua hilo ziwa ni heri muwape tenda kampuni kubwa zenye vifaaa na meli za kisasa ondoeni hao wavuvi wadogo ndio wanaovua hao samki wachanga na kuuza mtaani

Sangara akiwa mdogo huwa hana ladha wala yale mafuta yake ya asili,
 
Bangi ni dawa.

adriz
 
Mnawaza kulakula tu wakati hampendi uvuvi na kilimo.

Legalise bangi
 
Ni wazo zuri kwa mataifa yaliyoendelea sio Tz. Ziwa Victoria limesaidia wengi mpaka kupata ajira serikalini hadi leo kuna watoto wanapata mahitaji ya Nyumban na Shuleni kutokana na ziwa victoria. Kuna aja ya kutafuta njia sahihi ili wavuvi wadogo wasiumie
 
Back
Top Bottom