Habari wanaJF,
Bado natafuta mtu kwa kuniletea samaki aina ya sangara na sato buchani kwangu, niko Dar. Mahitaji yangu ni kilo 100 za sangara na kilo 30 za sato kila wiki. Nicheck kwa whatsapp namba hii: 0769141105