Samaki samaki

Duhhh......[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi kabisaaaaa [emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Wanaitwa Sawfish kwa lugha ya Malkia ni jamii moja na Rays (sting ray, Manta ray N.K)
 
Kwenye zile documentary za kuonyesha bahari na viumbe vipatikanavyo baharini kuna viumbe vya ajabu sana vingine vinakaa chini kabisa ya bahari lakini watafiti huenda hadi huko chini ya bahari.

Dunia ina Viumbe wengi sana na wa kila aina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…