Samaki Samaki Mbezi Beach inaungua

Nina wasiwasi hizi ni njama za kulipwa bima kwani kuna taarifa kwamba Bar hii ni miongoni mwa majengo ambayo yanabomolewa kwa sababu ya bomba aidha wamejenga juu au karibu na Bomba kuu la maji. Bomoa bomoa ina ikumba hata Baobao.

Fuatilieni kwa karibu.
 
Pole ni sana kwa moto.
Fire Brigade hazijafika kuudhibiti moto huo.
 

Mdau mm sioni kosa la huyo mmiliki kuanzisha hyo biashara ya mgahawa kwani ni wachache wenye moyo wa kudhubutu hasa katika kufanya biashara na wengi wetu hasa Wantanzania hatuko tayari kuwa "risk takers" wengi wetu ni "risk averser" sasa lawama kama hizo sidhani kama ni za msingi sana ukizingatia mfumo wenyewe haujakaa vizuri kuwapa mazingira bora watu wenye nia ya kufanya ujasiriamali
 
Toba.! Alikata bima kweli yule mzungu mswahili! Poleni waathirika wote.

Kulikuwa na zoezi la bomoabomoa kwa ajili ya kupisha bomba la maji la DAWASCO kipindi bar inateketea........Sijui YANAHUSIANA.......?????
 
Duuuuh sijui wageni wangu ntawapeleka wapi leo.........labda Top garage!!!!!
 

Hili nalo neno, mi huwa nawaita wachukuaji!
 
Unaweza uambiwe jamaa aliwekea bima na imetokea kama deal kusaka compensation.
 
Inasemekana huo moto ulizuka baada ya kijiko kinachobomoa kugusa waya wa umeme hapo cheche zikatoka ndipo zikagusa paa la makuti la hiyo samaki samaki bar, moto ulizimika baada ya gari la zimamoto kuwasili....poleni sana
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1377602278117.jpg
    27.1 KB · Views: 150

nyie ndio mnaokurupukaga na kutoa conclusion ya kitu kisicho cha kweli? mtu unapita barabaran kuona tu nguzo imeanguka unaanza kuconclude kwamba ndio source ya moto wakati hujathibitisha. subiri wenye taaluma zao wafanye tathmin ndio watoe taarifa sio ukanjanja tu wa kukurupuka na umbea.
 







Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.



Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.






Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.



Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.






Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki.



 
.......huyo mchukuwa picha ndiyo mmiliki mwenyewe wa samaki samaki !
 
nadhani kuna janja hapa
wamejua kunabomboa bomoa ili bomba la maji lipite
wakaamua kuunguza ili walipwe insuarance.mayb..nahisi hivo.
 
'watu wamezidi kufanya ufuska afadhali zipungue manake dah...'
 
Kijiwe cha Punda kimeungua sasa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…