Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Dec 25, 2010 Thread starter #41 newmzalendo said: naureen samaki wa kichina hana shombo= totoz/shape/**** ya kichina haina shombo wewe ulidhani samaki fish siyo hiyo ni tafsida au nd'o ulisomea akkademia za saint kanumba etc ama sivyo wenye mada? Click to expand... Mwacheni jamani Nanren, nitampelekea Samaki wa Mwanza na wakichina aone tofauti yake
newmzalendo said: naureen samaki wa kichina hana shombo= totoz/shape/**** ya kichina haina shombo wewe ulidhani samaki fish siyo hiyo ni tafsida au nd'o ulisomea akkademia za saint kanumba etc ama sivyo wenye mada? Click to expand... Mwacheni jamani Nanren, nitampelekea Samaki wa Mwanza na wakichina aone tofauti yake
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Dec 25, 2010 Thread starter #42 Nanren said: Bahati mbaya nimejifunza kiswahili katika miaka kumi na tano iliyopita. Muda mwingi nimeishi nje ya tz, kwa hiyo kuna vitu vingine sivifahamu. Click to expand... njoo online kiswahili mkuu
Nanren said: Bahati mbaya nimejifunza kiswahili katika miaka kumi na tano iliyopita. Muda mwingi nimeishi nje ya tz, kwa hiyo kuna vitu vingine sivifahamu. Click to expand... njoo online kiswahili mkuu
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Dec 25, 2010 Thread starter #43 Quadrat jr said: pole ndugu,raha ya samaki shombo.... Click to expand... Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Quadrat jr said: pole ndugu,raha ya samaki shombo.... Click to expand... Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Dec 25, 2010 #44 Mie mwenzenu shombo la samaki ndio limenifanya niwachukie hawa vitoweo.
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Dec 25, 2010 Thread starter #45 Paka mweusi said: Mie mwenzenu shombo la samaki ndio limenifanya niwachukie hawa vitoweo. Click to expand... Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA
Paka mweusi said: Mie mwenzenu shombo la samaki ndio limenifanya niwachukie hawa vitoweo. Click to expand... Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Dec 25, 2010 #46 Magulumangu said: Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA Click to expand... Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu.
Magulumangu said: Alllllllaaaaaaaaaaa mkuu vipi teana ina maana huli tena Samaki hata wa ziwa Victoria? wewe utakuwa mlaji mzuri wa wale wa KICHINA Click to expand... Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu.
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 462 Dec 25, 2010 Thread starter #47 Paka mweusi said: Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu. Click to expand... Poti wewe noma sasa samaki anapewa Pafyumu tena? mie pia nakula hata wa ziwa tanganyika maana they are unique poti...
Paka mweusi said: Wakichina sili Poti nakula hawahawa wetu ila ndio mapishi mpaka nimuoshe kwa sabuni na nimpulizie pafyumu. Click to expand... Poti wewe noma sasa samaki anapewa Pafyumu tena? mie pia nakula hata wa ziwa tanganyika maana they are unique poti...