kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,687
Panya anayegundua mabomu Afrika
'Panya mwokozi wa maisha'
Shirika moja lisilo la kiserikali la Ubelgiji APOPO limeanza kuwafundisha panya namna ya kutambua mabomu yaliyofukiwa ardhini. Panya hao ambao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida wanafanyiwa majaribio.
DW.DE