Samaki na mengi yakusema ila maji mdomoni.

NIYOMBARE

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,718
4,228
Salamu wana chit chat wote.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,nimekuwa na duku duku langu ili mda mrefu sana Leo nalitoa.

Mabint hawa wanaukonga moyo wangu sana kiasi chakushindwa kuvumilia.

Honey Faith
even saint(sina hakika kama nimepatia jina)
Na Patience123
Kama mmewaiwa mnifaamishe.

Wenu katika jf Niyombare.
 
Mkuu haupo serious.. yan mtu unayemzimikia kwa mda mrefu huwezi hata kuliandika jina lake kwa usahihi?
 
Niko serious sana mkuu.natamani kuskia lolote kutoka kwao moyo utulie.
Wanawake wanapenda kuandikwa/kutamkwa majina yao kimahaba na kwa usahihi sasa unapokosea namna hiyo anaweza asijue hata kama ni yeye, watakuja lakini mkuu ngoja nisiwasemee
 
Wanawake wanapenda kuandikwa/kutamkwa majina yao kimahaba na kwa usahihi sasa unapokosea namna hiyo anaweza asijue hata kama ni yeye, watakuja lakini mkuu ngoja nisiwasemee
Hebu muandike kimahaba wa kwako mkuu
 
Ila samaki naye kazidi,

Maji mpaka mdomoni?

Sasa kama mdomoni maji mengi kiasi hiko je ....

nazungumzia huko anakoishi.

Yaani mie hujaniona mpaka unaanza kuwalilia hako akina nani sijui?
Ina maana siye wengine sanamu?

Hata hujamaliza fukwe unataka Nungwi?

Njoo unywe maji kwanza

maji ya jf
 
Yaani mpaka leo hujaona mdau wa jinsi tofauti ambaye akilike au kuquote post yako wewe roho inakua kwatu?
Nnayemzimikia hajawai ku like wala ku qoute post zangu sa sijui ndo sina zali?
 
Ila samaki naye kazidi,

Maji mpaka mdomoni?

Sasa kama mdomoni maji mengi kiasi hiko je ....

nazungumzia huko anakoishi.

Yaani mie hujaniona mpaka unaanza kuwalilia hako akina nani sijui?
Ina maana siye wengine sanamu?

Hata hujamaliza fukwe unataka Nungwi?

Njoo unywe maji kwanza

maji ya jf
Sina cha kusema ila nimeshindwa kupita bila kukuquote. Aisee
 
Ila samaki naye kazidi,

Maji mpaka mdomoni?

Sasa kama mdomoni maji mengi kiasi hiko je ....

nazungumzia huko anakoishi.

Yaani mie hujaniona mpaka unaanza kuwalilia hako akina nani sijui?
Ina maana siye wengine sanamu?

Hata hujamaliza fukwe unataka Nungwi?

Njoo unywe maji kwanza

maji ya jf
Hahaha fakegirl Naomi ngoja nisubiri waje wakizingua nitahamishia kambi kwako.
 
Back
Top Bottom