Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,910
- 6,704
Wewe ni tegemezi?Motivesheno spika tupumzisheni kidogo
Maisha ni kutegemeana, ukisema ufatishe hayo maneno unayoyaona utaishia kufa peke yako...maana upo peke yako peke yako tu...si haumtegemei yoyote, humuamini yoyote, na kumuomba yoyote...Wewe ni tegemezi?
Unamuamini kila mtu?
Una tabia ya kuomba omba?
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Sawa, lakini mimi sio motivation speakaa!Maisha ni kutegemeana, ukisema ufatishe hayo maneno unayoyaona utaishia kufa peke yako...maana upo peke yako peke yako tu...si haumtegemei yoyote, humuamini yoyote, na kumuomba yoyote...
Pambana na hali yako, ufe kivyako vyako usichangamane na watu kabisa
Okay, picha umeitoa wapi kama sio kwao?
Kwa kuwa ameongea mzungu , ishi dunia yako sio kuigaiga, cha msingi utoboe
Kwao akina nanii?Okay, picha umeitoa wapi kama sio kwao?
Page za motivesheno spikaz