samaki mkubwa wa kula kijiji kizima..!!

ila kwa ukubwa wake ni dhahiri kuwa ni nyangumi na hata tail yake pia imeonyesha.
 
KWETU IHALE MASANZA WANI WILAYA YA MAGU. Miaka ya themanini ziwani walikuwepo samaki wakubwa kuliko huyu

kweli bhabu? Lakini si unajua nyangumi hakai ziwani anaish baharaini tu, samaki mkubwa anayefahamika ni nyangumi,

samaki hao wakubwa kuliko nyangumi unaowasema walikuwa wanapatikana ziwani kwenu ni samaki gani?!
 
Back
Top Bottom