Samaki mkubwa aonekana kisiwani Pemba

Inaonyesha huko Pemba watu wananjaa sana.
 
hawa watu njaa zao zitawaponza watakuja kula mpaka maiti kama mzoga ulioza mmh njaa mbaya sana
 
Waislamu toka lini wameanza kula vibudu.
 
Huyo anaongeza sana nguvu za kiume, ukimla unakua kama simba dume ama faru kwenye yale mambo ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…