ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 947
- 545
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo.
baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako.
chukua viungo vifuatavyo:
1.Kitunguu swaum
2.pilipili Manga
3.Binzari Nyembamba
menya kitunguu saumu vizur kisha kiponde ponde vizur kisha kipakaze na ukitie katika kila samaki sehem ulipo mpasua ,
pilipili manga pia uipondeponde na ufanye kama ulivyofanya kwenye kitunguu swaumu[ila hii sio lazima kama hupendi pilipili]
na binzari nyembamba pia uipakaze na kuitia sehem ulizo mpasua samaki usisahau chumvi.
Jaribu uonje ladha murua na samaki awe mwenye harufu nzuri bila ya vumba kali.