Samaki Ladha nzuri na ya kuvutia

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
947
545
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo.

baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako.
chukua viungo vifuatavyo:
1.Kitunguu swaum
2.pilipili Manga
3.Binzari Nyembamba

menya kitunguu saumu vizur kisha kiponde ponde vizur kisha kipakaze na ukitie katika kila samaki sehem ulipo mpasua ,
pilipili manga pia uipondeponde na ufanye kama ulivyofanya kwenye kitunguu swaumu[ila hii sio lazima kama hupendi pilipili]
na binzari nyembamba pia uipakaze na kuitia sehem ulizo mpasua samaki usisahau chumvi.

Jaribu uonje ladha murua na samaki awe mwenye harufu nzuri bila ya vumba kali.
 
Umesahau limao, chumvi, tangawizi na wengine huongeza na fish sauce kwa ladha na harufu nzuri zaidi.
 
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo.

baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako.
chukua viungo vifuatavyo:
1.Kitunguu swaum
2.pilipili Manga
3.Binzari Nyembamba

menya kitunguu saumu vizur kisha kiponde ponde vizur kisha kipakaze na ukitie katika kila samaki sehem ulipo mpasua ,
pilipili manga pia uipondeponde na ufanye kama ulivyofanya kwenye kitunguu swaumu[ila hii sio lazima kama hupendi pilipili]
na binzari nyembamba pia uipakaze na kuitia sehem ulizo mpasua samaki usisahau chumvi.

Jaribu uonje ladha murua na samaki awe mwenye harufu nzuri bila ya vumba kali.
Mkuu analiwa mbichi au maana cjaona cha jiko wala sufuria
 
Samaki ana shombo hivo limao au ndimu ni lazima kuweka bila kusahau tangawizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom