Samaki fresh sato na sangara kutoka ziwa Victoria

Samaki fresh sato na sangara kutoka ziwa Victoria

Ile Petro Station mpya? Ntakua mteja wa kudumu.

Kituo cha mafuta kilichopo junction ya njia inayotoka mabatini polisi na njia inayotoka science kuelekea kwa Mama Salma Kikwete.Nilipomark hapo duka ndiko lilipo.Karibu sana
IMG_0510.JPG
 
Kituo cha mafuta kilichopo junction ya njia inayotoka mabatini polisi na njia inayotoka science kuelekea kwa Mama Salma Kikwete.Nilipomark hapo duka ndiko lilipo.Karibu sanaView attachment 1187197

Ahsante sana.
Ombi lingine, hii picha na ile yenye samaki na kuku, na zeyewe ziweke pale juu. Itakua umelitendea haki tangazo lako.
 
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja .
*Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg.
*Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar 7500/= per Kg.
*Kuku wa kienyeji pure pia wanapatikana kwa bei ya shilingi 20,000/=
Huduma hii inapatikana Kijitonyama Dar Es Saalam na Delivery inafanyika Majumbani na Maofisini.
*Kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia 0762108434[emoji120]
Sato wa bei ya jumla ni wangapi?
 
IMG_0932.JPG
Karibu uhudumiwe.Samaki wanaandaliwa katika hali ya usafi
 
IMG_1217.JPG
Sato Sato Sato .mzigo mpya umeingia karibu jmfishpoint kijitonyama Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom