Samaki asiyegeuzwa...

Na usipogeuza kibao inabidi uhame kiti! Lol!

ahahahahhahhahahha yani nimewaza mtu anahama kiti ili ale samaki!anatoka upande huu na hamia upande huu ahahhahahahhaha mtoto una akili mbovu wewe kah!
 
Hapo mwaJ anabadili style ya kula
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahhahahha yani nimewaza mtu anahama kiti ili ale samaki!anatoka upande huu na hamia upande huu ahahhahahahhaha mtoto una akili mbovu wewe kah!

Yaani we acha tu! Hiyo yote ili mtu asigeuze samaki! Khaaaaa! Sijui tabu yote hiyo ya nini?
 
Boflo kama ilivyo katika mapishi,ladha huendana na aina ya mapishi. So sie wengine utamu wa samaki shurti ageuzwe. Huyo wa kuchuchumia km ivo hanogi yakhe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…