Samaki aina ya lobsters na crab (live)

Samaki aina ya lobsters na crab (live)

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Habari
Kuna mtu humu anadeal na hawa samaki, wakiwa live yaani unauza live live au unajua mtu anayefanya hii biashara.. Tafadhali nipe contacts
 
Habari
Kuna mtu humu anadeal na hawa samaki, wakiwa live yaani unauza live live au unajua mtu anayefanya hii biashara.. Tafadhali nipe contacts
Wacheki hawa, 0782 825 830 . Ila maduka ya wauza seafood wote Dar wanakua na variety nyingi sana za samaki wa baharini. Nenda hata insta kaandike tu kwny search bar "seafood tz" utakutana nao😄
 
Wacheki hawa, 0782 825 830 . Ila maduka ya wauza seafood wote Dar wanakua na variety nyingi sana za samaki wa baharini. Nenda hata insta kaandike tu kwny search bar "seafood tz" utakutana nao
Asante ngoja niwacheck
 
Habari
Kuna mtu humu anadeal na hawa samaki, wakiwa live yaani unauza live live au unajua mtu anayefanya hii biashara.. Tafadhali nipe contacts
Kuuza live live ndio aje mkuu?
 
Back
Top Bottom