gerishom mkotigws
Member
- Nov 5, 2014
- 18
- 4
wapendwa baada ya kutoa tangazo langu la ufundi wa magari kuna baadhi ya jamaa zangu niliahid kuwafanyia kaz lkn kwa bahat mbaya nilipata ajali kazin nikaumia mkono navkushonwa nyuz 30 na mpaka sasa nipo nyumbani nauguza kidonda.
So no wory mungu akipenda nitapona na kuanza kuwahudumia.
So no wory mungu akipenda nitapona na kuanza kuwahudumia.