SAMAHANI Snowhite!

Madam snowhite naomba hiyo mada mliotaghafrakhana namna hiyo maana sielewi vile pliz nipe link tatizo kuchezea uwanja mmja na vijana du

tatizo sijui kulink mamii!ila hatukukwaruzana kiiihvyo!hebu nenda kule MMU utaikuta thread moja inasema ''wanawake muwe na aibu''
 
yuniform haina haja!mwalimu bora ni yule ajuae wanafunzi wake kwa majina!kwa hiyo mantakhofu!mwalimu wako akujua utosi mpaka unyayo!
nini daftari kwa mwalimu utapata mpka jaladio!
Aah sannnah' mwalimu snowhite aminia basi nakuja mdogo mdogo nitawatesaje wenzangu maana unajua kweli kunifundisha

Afu daftari litakuwa safiii! Chezeya jaladio?
 
Last edited by a moderator:
Aah sannnah' mwalimu snowhite aminia basi nakuja mdogo mdogo nitawatesaje wenzangu maana unajua kweli kunifundisha

Afu daftari litakuwa safiii! Chezeya jaladio?

hilo sio swali !jaladio litakuwa lile la kaki lile,limenyookaaa!safi!tayari kabisa kwa kulitunza daftari lisichanike wala kupata michoro michoro isofaa!kimsingi mi napenda daftari langu yani la somo langu liwe kwenye mpangilio,kiasi kwamba mwanafunzi akitaka notes za matrix anapata,leo akitaka logi anapata akitaka set anapata daftar likiwa katika mpanglio mzuri somo linaeleweka sana!mno!wala mwalimu mie nakuwa sina haja remedials na mwanafunzi hana haja ya kutafuta tuition kwingine!
 

Mi hili somo
Naona nshapata A! Yani notes za kufa mtu, umesahau
Notes za Trig Zilivo nzuri
Maana nshaziona darasani, na A jometri ndo usipime hebu nichonge zangu penseli miye!

Karucee unapenda twishen pia? Mwalimu snowhite anachukua "one at a time"
 
Last edited by a moderator:

aahahahhahahhahahah kwani Karucee anataka tuition ? kwani darasa si mlisema limejaa?ngoja tumuulize Asprin manake ndo class regitration manager!
 
Last edited by a moderator:
ouwkey kwa hiyo we
hutaki darasa la watu japo watatu kama The Boss ,THE COMMUNIST himself?

Hapana mwalimu, wajua kabisa njia zangu, mimi ni mroma pyua, ukomunisti tupa kuleee! Lol
 
Last edited by a moderator:
Hapana mwalimu, wajua kabisa njia zangu, mimi ni mroma pyua, ukomunisti tupa kuleee! Lol
na mwezi uliopita ulishiriki vyema kabisa!haya nimekubali!UENDE NA AMANI!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…