VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
- Thread starter
-
- #21
Asante MkuuUungana ni vitendo. Hongera Mzee Tupatupa kwa kukiri kosa na kuomba radhi.
kweli!na mie nimeshamsamehe!Uungana ni vitendo. Hongera Mzee Tupatupa kwa kukiri kosa na kuomba radhi.
na kweli halafu ukija uje kabisa na 4 figure,kuna mbinu mpya hivi nimeisoma kwenye kitabu changu cha ukokotozi nahisi utaelewa zaidi!
na chilau mewawa,wengo ngati mugati humu sa nyingine tutindahi tuu!
Awi lepi penyee hapa...awi kulihengu ku-Songea nde. Ne niwi ku-Dar. Teleka wamwenenikosiwi lepi!umjambusi na mwenyew wifi ,avi koki penyee hapa mi na dada FP na mdogo wetu Kipipi na Chimunguru pamoja na moto2012 tuna hamu ya likolo na nyungu kweli wengo! basi chilau ayatelekise wengo!
nikosiwi lepi!umjambusi na mwenyew wifi ,avi koki penyee hapa mi na dada FP na mdogo wetu Kipipi na Chimunguru pamoja na moto2012 tuna hamu ya likolo na nyungu kweli wengo! basi chilau ayatelekise wengo!
Ewaaa nitakuja nayo, bikari je? Na kipima pembe? Nivae yuniform?
Katika uzi wenye jina 'Wanawake muwe na aibu' wa Jamii01,nilitamka maneno ambayo si ya kawaida kwa umri wangu. Ukaninukuu na kuniuliza swali la kuchoma sana moyo wangu.Ukasema:uuuuuuuwhi,ni wewe huyu au? Nilisema:'acha sifa za kijinga ndugu..fanya kazi.Ungekuwa mzuri si ungekuwa na k? Ebo!'
Kiufupi,nilighafilika sana.Huchukizwa na mwanaume/mvulana anayejisifu-sifu kama mwanamke. Snowhite na Wana-JF wote,samahanini sana. I will try to be more careful with my statements. Asante kwa kunielewa.
mh!nafikir uje na rula manake kuna vipimo vya metrick nahisi havipo sawa itabidi tuviweke sawa,halafu nini tena?hebu nikumbushe!
Safii , huu ni uungwana
yuniform haina haja!mwalimu bora ni yule ajuae wanafunzi wake kwa majina!kwa hiyo mantakhofu!mwalimu wako akujua utosi mpaka unyayo!Yuniform je? Rula ninayo, penseli nankifutio chake na kichongeo.....si ndio? Daftari ntapata kwako mwalimu!
yaaah kwa moyo saaafi!Tushakusamehe
FP dada mkubwa njoo huku usikie kingoni cha rombo!