GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
nasikia umekosa tuzo za mama huko south. najua ulikuwa na matarajio makubwa ktk tuzo hizo ila hazikuwa upande wako. rudi nyumbani mwanakwetu njoo tutafakari pamoja juu ya kukosa kwako nionavyo mimi walioko nyuma yako nao ni wakutazamwa babu tale mkubwa fela na hao clouds hawana ushawishi wa kimataifa pia wanajifikiria wao kuliko anayewafanya wajifikirie wangapi wamelalama dhidi ya hawa?
yupo wapi juma nature spark mb doggy cassim saida kalole z anto ray c ? walipotezwa na hawa
yupo wapi juma nature spark mb doggy cassim saida kalole z anto ray c ? walipotezwa na hawa