maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 171
sio lazima uchangie, kama yaliyokujaa akilini mwako ni kumtusi mtu ni bora ukabakia kuwa msomaji wa comments za wenye hoja! jitu zima hovyooooo!
Ni kweli unasema hata mimi diamond angekuwa amejiumba mwenyewe ningemtania hivyo hivyo lakini hapana kaumbwa na muumba inamaana ukimkosoa diamond unamkosoa muumba hajui kuumba.hii haijatulia naomba utuumbie hata kidole ili kuthibitisha yeye ni muumbaji mzuri.