ohoooo,makubwa!Wewe ndo una akili fupi ka funza kwani wewe ulizaliwa na jiwe jiheshimu wewe
Realy?!Wewe ndo una akili fupi ka funza kwani wewe ulizaliwa na jiwe jiheshimu wewe
Ni kweli kabisaSijui kw nini ila wanawake wengi na tusherehe sherehe wanapenda sana,ila kwenye suala la harusi kitu nilichokuja kugundua wanawake wengi huwa wanapenda harusi simply tuu awaonyeshe wenzie kuwa na yeye ameolewa,hasa na mwanaume anayeweza kufanya harusi,ni kama ufahari fulani hivi
wewe mbona ulioa na harusi?mwingine huyu anaulizwa harusi mnazipendea nini hata majibu hatoi anasema akili za muuliza swali ni za funza.. hawa ndio mama zetu akili zao..
hahahawewe mbona ulioa na harusi?
mbona nyie mnaoa kwa harusi?Ishu ya kuwalisha watu siku moja kwa mamilioni hinaga maana aisee.
Kama uwezo hauruhusu bora watu wale wali maharage wakalale...
Madogo yana nafuuohoooo,makubwa!
Yeah it's realRealy?!
Maisha bila vishughuli hayaendi, mi mwenyewe napenda kweliMkuu wanawake wote duniani wana DNA ya kupenda shughuli.
Cha msingi ww jikune mpk unapoweza tu halaf waachie wao watafute huko waliposema
Hahaha kwa kweli,naona umetoa la moyoniMadogo yana nafuu