Samahani nilikua nataka kujua kuhusu bima rahisi

said reuben

Member
Dec 22, 2018
62
28
Samahani nilikua nataka kujua kuhusu bima rahisi maana yangu nilikatiwa na mzaz na sasa haifanyi kazii nimeuliza nhif ziko juu gharama milion moja na laki tano nilikua nataka kujua kuna bima nyingine ya bei rahisi?? Pili na sumbuliwa na maumivu upande wa kulia wa kifua kama kichomi hivi na mkono wa kushoto na mguu wa kushoto unauma flani japo sio sana
 
Mkuu ukija hapa kwa habari uje na details za mwili wako tukufanyie physical diagnosis kwa maswali tutakayokuuliza kabla hujapata ushauri.
Uzito, urefu, umri nk.
 
80 uzito urefu 5.8 umri 27
Tungejua na blood pressure yako ingependeza zaidi.
Ila nahisi una una upungufu wa oxygen mwilini, ambayo unaweza kuiongeza kwa kupumua pumzi kubwa, kwa kazi nzito au kutembea umbali mrefu na kunywa maji mengi kila siku, hali hiyo itakwisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom