Samahanini wadau wa JF,,mim ni mgeni kweny hii Jamii..
Nikiwa nafungua hii sehemu nilitegemea kukutana na Aina ya jumbe ninazokutana nazo(post)..lakini wanajamii wengine inaonyeshwa hawafurahishwi na wa AINA ya hzo text, nilitamani kuwachekesha na za kijiwe kama hzo lakini sitafanya hvyo tena mpaka wana Jamii mtakaponiambia kinatakiwa nin hapa..
Kwani text kama hzi sizikuti ktk HOJA, SIASA,AJIRA na nyingine kama hzi..
Tafadhari nifahamisheni hapa kweny Jokes/vichekesho kunatakiwa nini hasa.. 2punguze malumbano ila 2elimishane kwa lengo la kujenga JaMiI BORA zaidi..