Samahani,naomba ushauri wako hapa!!!

Naogopa kuku PM maana utanipiga mzinga!Umri wako kwa mizinga hamjambo!!
 
Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!
 
Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!

Nashukuru am not among them/
Sitaki kazi nowdays pia sitaki dem/
Maana nimekimbia kuchunwa sitaki kuwa ATM/
Mke mwema hapatikani inbox wala kwenye pm/
 
Kashafanywa sana wakati ajitambui huna jipya ushapoteza dila miaka 20 kushne
 
Wanaume jaman,kidogo tu PM 50, sa sijui wote hawa hawana wapenzi!
Aisee hahahahah! Umeanza kuwaanika taratibu! Kwani wewe hitaji lako lilikuwa ni nini? UngeFurahi kukosa kabisa PM?

Aisee Maigizo at work!
 
mpaka leo you use waptrick kweli we dogo afu unawashwa kinyama i can smell it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…