Samahani naomba kuuliza

Samahani naomba kuuliza

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
Habarini sa asubuhi wapendwa!naomba kujua nasikia matokeo drs la saba yametoka nimehangaika kuingis ktk web ya necta siyaoni sasa naomba mwenye kujua link anipe nimchekia kijana wangu.
 
Kumbe siku hizi wanaweka Grade tu bila.marks alizopata aiseeee
 
Back
Top Bottom