Goodluck Boaz Member Joined Feb 26, 2020 Posts 84 Reaction score 88 Apr 5, 2020 Thread starter #21 Ntakutafuta bro unaushauri mzuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,383 Reaction score 7,433 Apr 6, 2020 #22 Subiri umalize shule ndiyo utajua wenzako walikufa na ndoto hizo sasa hivi ni madalili wa viwanja huku mtaani
Subiri umalize shule ndiyo utajua wenzako walikufa na ndoto hizo sasa hivi ni madalili wa viwanja huku mtaani
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,913 Reaction score 11,317 Apr 6, 2020 #23 unaweza kuwa ata punga Sent using Jamii Forums mobile app
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,513 Reaction score 40,354 Apr 6, 2020 #24 TOHATO said: Unajua watu wamekaririshwa vibaya sana kwamba PGM ni urubani tuu ila ukweli hata EGM anao uwezo wakusoma urubani sema tatizo tanzania hela ndo shida. Click to expand... Urubani
TOHATO said: Unajua watu wamekaririshwa vibaya sana kwamba PGM ni urubani tuu ila ukweli hata EGM anao uwezo wakusoma urubani sema tatizo tanzania hela ndo shida. Click to expand... Urubani
TOHATO JF-Expert Member Joined Dec 18, 2016 Posts 1,493 Reaction score 5,394 Apr 6, 2020 #25 joshua_ok said: Urubani Click to expand... Yaaah Egm anasoma pia Urubani . Tatizo mawe huku kwetu tena hata form Four anasoma
joshua_ok said: Urubani Click to expand... Yaaah Egm anasoma pia Urubani . Tatizo mawe huku kwetu tena hata form Four anasoma
test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 983 Apr 8, 2020 #26 Daaah corona inavuruga watu kww kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Apr 8, 2020 #27 Goodluck Boaz said: Ivii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani?? Ahsante!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rais au waziri
Goodluck Boaz said: Ivii mtu akisomea PGM anakuja kuwa nan tofaut na ualim na urubani?? Ahsante!! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Rais au waziri