Samahani Mheshimiwa rais, tunataka kuangalia Bunge.

Samahani Mheshimiwa rais, tunataka kuangalia Bunge.

Ni kweli wako wengi ila hawajawahi ita press confrence kuelezea.
Leo nimefurahi kupata Raisi akielezea.Natamani aendeleee tu hata mpaka asubuhi.


Kuna member humu jf alipata kuhoji kwanini rais anaonekana kwenye uzinduzi wa kampeni nyingi lakini hajaonekana kuzindua mpango wa kumeza dawa za kuzuia mabusha?
 
Nadhani kama jamaa watakuwa hawajaangikwa msalabani basi JK atalaumiwa sana kwa kutunyima haki wananchi.
 
nahic ni ka-mkakati maalum ka kutaka tusione bunge coz tbc, startv, na hata channel ten wote wanarusha huo u.pu.u.zi
 
Watu hawana hata hela ya kununua panaldo we unaagiza watu wakafanye cancer makasi huyu jamaa vip huyu..!!?
 
Kwa kweli! Shikamoo JK na pole kwa homa na safari. Nachelea kusema kwamba wananchi wako tutachuguzaje afya coz hatuna pesa na hata hosputal zetu hazina dawa na vifaa na hata wataalam. Pesa ya Escro irud baba.
 
Mr. President, your addressing is not our priority for now.

Au, you're doing it with specific purpose of diverting our attention from Bunge proceedings...?
 
Kwa kweli! Shikamoo JK na pole kwa homa na safari. Nachelea kusema kwamba wananchi wako tutachuguzaje afya coz hatuna pesa na hata hosputal zetu hazina dawa na vifaa na hata wataalam. Pesa ya Escro irud baba.

Haa haa haaa! Nimecheka sana,
 
Jamaa anaboa balaa,,, yaani anarudia rudia majina ya madaktar kama tunawafahamu vile! Huu ni mpango ulioandaliwa tuu
 
Mbona hamalizi kutoa shukrani? Alafu unajidai huyajui ya dodoma.
 
Ni makusudi anapoteza muda anasema ya dodoma hayajui mwongo mkubwa anaju kila kitu.
 
kuwa binadamu mnafiki ni shida sana, bora ungezaliwa mbuzi ukaliwa nyama.:alien:

Usishangae sana kwa watu wanafiki, watakuloga...watu kama hao furaha yao watu wafe wao wale nyama : ukiona mtu anashangilia maafa ujue ana ushirika na bibi wa Ngende, Gamboshi au Bagamoyo...
 
Back
Top Bottom