Samahani Mheshimiwa rais, tunataka kuangalia Bunge.

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,729
14,262
Kwanza tunamshukuru Allah kwa kukurudisha salama, pamoja na kiu yako ya kutaka kutueleza kiundani historia ya matibabu yetu, lakini tuna suala linaloendelea bungeni, linalotafuna mabilioni ya umma huku hospitali hakuna dawa wala facilities kama ulizozipata huko John Hopkins, basi tunaomba utupe muda walao kwa sasa tuwatambue kwa majina watetezi wetu na watesi wetu ili siku ya hukumu tuweze kutoa hukumu stahiki, tafadhali mheshimiwa, isije semekana wewe hotuba yako yenye lengo jema imepanga kuwalinda wezi wasimulikwe.., maana hata hivyo tunaona kama suala la Escrow haikuwa issue saana kwako kwa sasa.
 
bunge lipo online? huyu raisi si atahutubia mwisho wa mwezi? aache tualizane na kina muongo, maswi, masele, chenge , tibaijka et al.
 
Maelezo ya USA rekodini,sisi tunataka hawa wezi wa Bungeni walioiba hela ambazo zingeweza kuboresha huduma kwenye Hospital zetu,mambo ya Hospital za USA mtatuwekea baadaye
 
Kweli hii nouma s's kumbe hata radio one nao wameelekea huko.........
 
nimesoma kichwa cha habari nimecheka!!

lakini kweli. kwa jinsi mambo yalivyo angetafuta muda mwingine ni kama kafanya makusudi!
 
Back
Top Bottom