Samahani lakini, Humphrey Polepole unapwaya nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
18,191
13,831
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kwa kweli amekosa mvuto.

Anapwaya kwa kweli.
Mimi sijawa impressed na upeo wake wa Uenezi.
Pale awamu ya Nne alipokuwa akimwaga nondo za katiba mpya, sasa hivi yuko tofauti.

Sijui lakini, pengine ni mawazo yangu tu!
 
Kstibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kwa kweli amekosa mvuto.

Anapwaya kwa kweli.
Mimi sijawa impressed na upeo wa Uenezi.

Sijui lakini, pengine ni mawazo yangu yu!
Subiri siku akitemwa utakuwa impressed naye tu saa hizi kashikiwa akili, umemuona Nape alivyo baada ya kurudishiwa akili zake.
 
Brother umesahau kuongea au kuchangia maada sio wasifu wa uongozi ni vitu viwili tofauti
 
Kstibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kwa kweli amekosa mvuto.

Anapwaya kwa kweli.
Mimi sijawa impressed na upeo wa Uenezi.
Pale awamu ya Nne alipokuwa akimwaga nondo za katiba mpya, sasa hivi yuko tofauti.

Sijui lakini, pengine ni mawazo yangu tu!
Hivyo ndivyo anatakiwa awe. U go with the flow.
HATAKIWI KUWA MKUBWA KULIKO CHAMA AU KUWAFUNIKA SANA VIONGOZI WAANDAMIZI WA CHAMA...
 
Naunga mkono hoja!
Nafsi inamsuta alishasema ukipatikana katiba mpya nzuri ccm hawana chao
 
Kstibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kwa kweli amekosa mvuto.

Anapwaya kwa kweli.
Mimi sijawa impressed na upeo wa Uenezi.
Pale awamu ya Nne alipokuwa akimwaga nondo za katiba mpya, sasa hivi yuko tofauti.

Sijui lakini, pengine ni mawazo yangu tu!

Labda ungetusaidia Mkuu utuambie Kazi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inatakiwa iweje? Na ili anayeishika awe na mvuto unaousema anatakiwa aweje? Halafu naomba nikuulize tu Mkuu hivi ni nani aliyekuambia kuwa kila Jukumu utakalopewa basi unatakiwa uwaridhishe Binadamu wote? Hivi kwa mfano tu Yesu Kristo japo ni Mkombozi wa Wakristo wengi lakini unadhani ni kwanini wapo ambao walimpinga, kumchukia na hadi kumtesa vile? Najua hii post yako unataka kumsifia nani hapa ila kama kakutuma nenda kamwambie kuwa hata yeye wakati anapewa hicho Cheo karibia mwaka mmoja alionekana Kituko hadi Watu wakawa wanamsaidia kum shape na hatimaye akawa mzuri hadi alipoondolewa rasmi.

Kama huyo unayemfagilia humu aliweza basi tunaamini hata Kamarada Polepole na yeye pia atakuja tu kuwa vizuri with time kikubwa tu ni kuwa Wavumilivu nae na hasa kumpa ushirikiano kwani hiyo nafasi siyo ya ki sport sport kama uwazavyo Wewe na badala yake inataka umakini mkubwa mno hasa ukizingatia kuwa CCM ndiyo nchi na Serikali.
 
Laima apwaye kwa sababu anachokiamini na anachokieneza ni tofauti
 
Pole pole,Roderick mpogoro,mangula wote manzi ga nyanza,uwezo wa nape ni mkubwa mara kumi ya hao jamaa,

Hata kanali lubinga hajulikani na yeyote hata akipita kariakoo,mpogoro yeye kwake siasa ni ajira,kafata mshahara,polepole umaarufu wake chanzo katiba mpya,otherwise hana political base

Hawa ndio wataibomoa ccm 2020
 
Labda ungetusaidia Mkuu utuambie Kazi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inatakiwa iweje? Na ili anayeishika awe na mvuto unaousema anatakiwa aweje? Halafu naomba nikuulize tu Mkuu hivi ni nani aliyekuambia kuwa kila Jukumu utakalopewa basi unatakiwa uwaridhishe Binadamu wote? Hivi kwa mfano tu Yesu Kristo japo ni Mkombozi wa Wakristo wengi lakini unadhani ni kwanini wapo ambao walimpinga, kumchukia na hadi kumtesa vile? Najua hii post yako unataka kumsifia nani hapa ila kama kakutuma nenda kamwambie kuwa hata yeye wakati anapewa hicho Cheo karibia mwaka mmoja alionekana Kituko hadi Watu wakawa wanamsaidia kum shape na hatimaye akawa mzuri hadi alipoondolewa rasmi.

Kama huyo unayemfagilia humu aliweza basi tunaamini hata Kamarada Polepole na yeye pia atakuja tu kuwa vizuri with time kikubwa tu ni kuwa Wavumilivu nae na hasa kumpa ushirikiano kwani hiyo nafasi siyo ya ki sport sport kama uwazavyo Wewe na badala yake inataka umakini mkubwa mno hasa ukizingatia kuwa CCM ndiyo nchi na Serikali.
Ulipoanza kutaja majina ya kwenye vitabu vya wapigaji, ndipo nilipoishia kusoma quote yako. Eti yesu!
 
Labda ungetusaidia Mkuu utuambie Kazi ya Katibu wa Uenezi na Itikadi inatakiwa iweje? Na ili anayeishika awe na mvuto unaousema anatakiwa aweje? Halafu naomba nikuulize tu Mkuu hivi ni nani aliyekuambia kuwa kila Jukumu utakalopewa basi unatakiwa uwaridhishe Binadamu wote? Hivi kwa mfano tu Yesu Kristo japo ni Mkombozi wa Wakristo wengi lakini unadhani ni kwanini wapo ambao walimpinga, kumchukia na hadi kumtesa vile? Najua hii post yako unataka kumsifia nani hapa ila kama kakutuma nenda kamwambie kuwa hata yeye wakati anapewa hicho Cheo karibia mwaka mmoja alionekana Kituko hadi Watu wakawa wanamsaidia kum shape na hatimaye akawa mzuri hadi alipoondolewa rasmi.

Kama huyo unayemfagilia humu aliweza basi tunaamini hata Kamarada Polepole na yeye pia atakuja tu kuwa vizuri with time kikubwa tu ni kuwa Wavumilivu nae na hasa kumpa ushirikiano kwani hiyo nafasi siyo ya ki sport sport kama uwazavyo Wewe na badala yake inataka umakini mkubwa mno hasa ukizingatia kuwa CCM ndiyo nchi na Serikali.
Badala ya kujadili issue unataka kuongelea watu.
Sasa niambie aliyelengwa nani, Ole Sendeka, Kinana,Nape au?
 
Back
Top Bottom