mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,840
Kipindi cha nyuma mabamedi walikuwa na tabia ya kuweka namba zao za simu pindi waletapo bili ya vinywaji
Siku hizi eti nasema eti kwa sababu nimeona kwa wadada wawili kwamba wanaume ck hizi wanaandika namba zao za cm na kuwa nazo mfukoni dheni akimwona demu anae mkali mzr anampa hiyo karatasi .
Mwenye kujua kama kafanya ama katokewa na jambo hili plz kwa ushahidi ????