ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,161
Sijui kwa nini mademu wa humu wanakuwaga wajabu ajabu....nami ilinitokeaga mwezi uliopita...kilichoniponza demu alkuwa anaongea kwa sauti nyororo sana na kudeka kwingi nikaona nimepata demu mkali na nikasahau hata kumuomba picha yake whatsapp...nikatuma nauli akaja Dar...nikamuelekeza lodge nilipo (nilikuwa nimelala na demu mwingine ndani ambaye ni wa siku zote lakini nilishamwambia kuna mgeni kwa hiyo nimgegede aondoke chap akakubali).Yule wa Mwanza alivyofika(ofcourse walipishana kwenye koridor) Dah keusi ,kabaya ,kafupi halafu kachafu flani...nikajilaumu sana kwa kupoteza hela yangu ya nauli na lodge....kwa hasira nikamgegeda na kumuachia buku 5 kwamba naenda home mara moja wife amenitumia msg....sikurudi tena nikazima simu...sijui lodge alilipa nini na alirudije Mwanza.....Angalizo kwenu enyi mademu mnaopenda kuwafuata wanaume kabla hajakukagua na kukukubali ..please muwe mnatuma hata picha kwanza Duh