casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,417
- 2,273
hivi ndio ayo uko dar, mnakunywa mnakuwa weupe?
Hatujazunguzia kubeza biashara ya mtu hapa, tunajadili ubunifu katika bidhaa zetu..unataka kusema kwakuwa ni bidaa ya mtu hata kama haivutii tusiongee..Mods, hiyo ni biashara ya mtu!?!
Hahahhahhivi ndio ayo uko dar, mnakunywa mnakuwa weupe?
Ruvu shootingWe shabiki wa timu gan
Nashukuru sana Uhai kwa kusikia kilio changu, maana Rangi ya chupa ya sasa inavutia sana big up mnooRuvu shooting
Chupa kama tunguli bana, creativity hapo imekwama. Ona chupa ya hill ndio utaelewa ama ya hivi vipombe vidogo kina sere lite zinashawishi na kukuita mteja hata kama hautakiNashukuru sana Uhai kwa kusikia kilio changu, maana Rangi ya chupa ya sasa inavutia sana big up mnooView attachment 1073354View attachment 1073355
Sent using Jamii Forums mobile app
Hill water ni balaa aisee,aliyebuni ile chupa alituliza akili..unajua biashara kama ya vyakula au vinywaji inahitaji ubunifu hasa kwenye packaging.Maji ya hili ni habari ya mjini kuanzia maji yenyewe na parkage yake chupa ni very portable
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera san Hillary Shoo
Maji ya Hill ni sawa na nyimbo za Bongo (kizazi kipya)..yanapita tu hayoHill water ni balaa aisee,aliyebuni ile chupa alituliza akili..unajua biashara kama ya vyakula au vinywaji inahitaji ubunifu hasa kwenye packaging.