Samahani kaka..........eti umeoa................!

Samahani kaka..........eti umeoa................!

Hivi kwani haiwezekani mwanaume kwenda kula kwenye mghahawa peke yake..................Lilikuwa ni swali la kijinga eh!
Kama ana tageti basi itakula kwake.............huyu atakuwa hamjui GUSTAVO huyu....................
Mimi nilikuwa mkware kiboko ya mambo......................Kwanza nina watoto humu, nisije nikaharibu..............LOL

Ni wazi mkuu unaonekana gia zako zilikuwa kama rivasi haishindwi kitu. Ila nimegundua kuwa huyo manzi aliibua hisia zako mpaka ukataka kupotea nji kwa kumeta cheche za enzi zako.
 
Hehehe, vile mama Ngina yupo kibaha unaruhusiwa kumvutia kasi lol.

Sasa nimejua kwanini wajishauri kumjibu huyo mdada!

Wewe sasa una NONGWA.....................LOL
Jambo dogo lakini untaka kuliuuuza.............................!
 
Huyo nadhani atakua mtaalamu wa dawa za jadi, yaani ukimjibu umeshaoa atakuuliza tena una mtoto ?
Ili kama huna akupe dawa ya uzazi.
Kama unao basi agenda over.
 
Jamani nimesema nitamjibu baadae kidogo...........Nikimaliza kula namtolea Lap Top namuonyesha picha zetu za Harusi.........Kuna ubaya gani kuonyesha ushahidi?
Mtambuzi hata kwa kumwambia inatosha...ila ni kama hujielewielewi vileee hahahahahaaaaa
wewe iko tamani hiyo binti....Lol
 
Last edited by a moderator:
mbona sasa mpka leo hujatuambia ulimjibu nini baada ya kumaliza kula? au bado upo mgahawani tangu jana unakula?
 
mbona sasa mpka leo hujatuambia ulimjibu nini baada ya kumaliza kula? au bado upo mgahawani tangu jana unakula?
Nilimalizana naye kimya kimya jana ile ile..........................LOL
 
hivi kwani haiwezekani mwanaume kwenda kula kwenye mghahawa peke yake..................lilikuwa ni swali la kijinga eh!
Kama ana tageti basi itakula kwake.............huyu atakuwa hamjui gustavo huyu....................
Mimi nilikuwa mkware kiboko ya mambo......................kwanza nina watoto humu, nisije nikaharibu..............lol

tuombe radhi mkuu! Lolz.
 
Back
Top Bottom