Samahani bosi, amesababisha bosi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samahani bosi, amesababisha bosi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Nov 11, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi wengi wa ofisini hasa wale wa Posta wameshazoea kuomba msamaha kila asubuhi wafikapo ofisini kutokana na foleni barabarani. Foleni hizi,hasa, husababishwa na wanene wa Taifa ambao kila uchao wanakuwa kwenye misafara.

  Mfano leo,nimesafiri toka Mwenge hadi Palm Beach kwa saa tatu na ushee. Hali hii hadi lini? Nini kifanyike? Wafanyakazi wakifukuzwa wamlaumu nani?
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa kitaifa walitakiwa wawe wanatumia usafiri wa chopper wakiwa town.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  hapana! wahame huko town, wahamie ambapo misafara haitakuwa na madhara makubwa... dodoma kwa mfano!
   
 4. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ni ujinga tu wa siasa za bongo,nchi za ulimwengu wa kwanza hawana huo ujinga,njiani unakutana na mkuu wa jeshi,mabalozi waziri mkuu nakumbuka juzi katibu mkuu UN allikuwepo ktk sherehe fulani sikujua kama ni yeye watu tunatembea na magari yanapita kama kawaida polis wachache sana.ingekuwa bongo mtaa ungefungwa siku nzima
   
 5. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Dawa ni kuzifunga hizo barabara na..................
   
Loading...