Samahani anaeijua simu ya TECNO vizuri anijuze

Samahani anaeijua simu ya TECNO vizuri anijuze

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
anayeifahamu vizuri tecno c 8 anajuze ubora wake ukoje very sorry wadau kuiweka hapa
 
Mi naionaga tu.......nikijua nitakwambia........
 
Ah ww c ukanunue tu.fuata moyo.wako.
Ata ukiingia chaka utajilaumu mwenyw
 
issue si kugoogggggle ila alishawahitumia ndo naomba aniambie

Mkuu nenda kagugooooooo.. Ukiambiwa uigugo sio kwamba watu wanakwambia uicheki picha ake gugo.. Ni kwamba ukigugo utaweza kuona matatizo yake na reviews zake.. Mfano unaeza ukagugo hivi.." Techno c8 problems" ukaletewa matatizo yake yatakayokufanya ufanye the right decision.
Unless kama unavanya survey ya wana jf wanaotumia hiyo simu, fanya kugugooo
 
Back
Top Bottom