Anaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
Star TV tunawaomba tuweze kuwaona tena kwenye EASY TV maana tumewamiss sana toka mjitoe kule.Kweli hamna mpinzani kwenye NEWS hapa TZ hasa kipindi cha Tuongee asubuhi.Pia ITV na EATV naona ni kama wiki moja sasa hamuonekani kwenye EASY TV.Please fanyeni kila liwezekanalo kurudi.Pia kuna baadhi ya vituo vya habari hasa ITV huwa tunakosa sana undani wa habari.Maswali kama WHO,WHEN,WHAT,WHERE,HOW yaani 5Ws hazi zingatiwi.Mnasoma habari na badala ya kutupa habari mnatuachia maswali na kutufanya dakika hiyo hiyo tuingie kwenye Jamii Forum kujihakikishia na kutoa maswali.Igeni kazi ya wenzenu wakenya kama NTV,KTV,CITIZEN na K24.Ndo maana mda mwingi tunaangalia channels za kenya.Halafu mambo ya kujiunga na BBC ama CNN ......sisi hatuyataki maana mnawapa promo wenzenu bila sababu.Ni vizuri mkafanya kama wenzenu wakenya wanavyo quote tu habari toka BBC lakini si kujiunga nao.kwakweli mnachezea airtime bure.Na mbaya zaidi BBC ,CNN na ALJEZIRA tuna uwezo wa kuzipata kupitia vingamuzi bila ya nyinyi kujiunga nao.Mnatia aibu...
Anaitwa Samadu Hassan na siyo Samadu Hassan Maduhu. Maduhu alikuwa kama si mwandaaji basi mhariri wa vipindi RFA.
Umenena, hata mimi Samadu Hassan namkubali sana, nadhani kwa habari za kimataifa anashikilia usukani kwa tz kwa mujibu wa maoni yangu.
jamaa yuko poa sana,ni mtangazaji wa kimataifa yule mzee,kati ya vichwa vinavyotangaza habari hapa bongo,yule ni nambari oneakifuatiwa na djaro warungu,oooh,no nimekosea sio djaro warungu,anafuatiwa na hemedi kivuyo.
I real miss him.... Habari za kimataifa kwenye stations za Tanzania ni hovyo kabisa. Watu wanakurupuka tu.... Hata ITV inapofika kwenye habari za kimataifa utawachoka.......