Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Zipi hizo
Nauliza Sam Mahela anazijua siri za CCM?
Zipi hizo
Waziri mzima unasema YouTube ni kifaa cha maabara bila aibu halafu huyo mjinga anamsifia hivyo?Acha kumshambulia mtangazaji wa watu.
Ona hapa anasema YouTube kama kifaa cha maabara halafu Hilo choko linamsifia utumbo!! Watu weusi ni watu wa hovyo sana!!

Tindo unaweza kuwa na kipindi ambacho watu hawapigi simu lakini kama host ni mzuri kinanoga tu. Huyu Mahela wengine tulisema muda mrefu kwamba anabore na anaingia katikati ya kipindi. Ni mtangazaji wa ajabu sana wakati mwingine yeye anajigeuza kuwa ndiye mwalikwa anajijibu maswali yake. Anauliza maswali ya hovyo hovyo kabisa. Labda naye anavizia fursa kama za akina Buhohela za kutokea kwenye Dakika 45 kwenda idara ya Mawasiliano Ikulu!

Mkuu unamaanisha nini kusema muda wake uishe? 2020? Mbona kuna dalili anaweza kuondoka mwenyewe baada ya zoezi la 26/4?

interviwing skills hamna kabisa pale. ni ujinga ujinga tu... hana tofauti na enock bwigane yule mnywa konyagi za kupima wa TBC hovyo kabisaAnatakiwa aulize swali siyo kutangulia kwenye jibu la swali. Mara nyingi anamuuliza mhusika swali hapo hapo anampa jibu.
Sam Mahela naona kahamia TBC, wamepanda dau!Nauliza Sam Mahela anazijua siri za CCM?