Acheni unafiki, wangapi wanaajiriwa serikalini bwana. Nani anapenda kufanya kazi za mkataba wa mwaka mmoja mmoja, wewe kila mwaka badala ya kufikiria kazi unawaza kurenew mkataba, mambo ya private hayo
Mnasemaje kapotea? Huenda kaahidiwa donge nono na longer term contract. Pia kule yupo karibu kabisa na uDC. Sometimes kuna watu wanaweka fame pembeni na kujiangalia future yao.
Security ni kulipwa "viji pesa" kwa miaka mingi ukiwa na uhuru ni mwingi na ukistaafu unapata pensheni ingawa inflation inafanya thamani ya ulichopewa iwe chini na nguvu ya kazi huna ushazeeka;
Au security ni kufanya kazi ya kasi na viwango yenye targets attached uzifikie ndani ya muda flani huku ukilipwa vizuri na baada ya muda mkataba uishe??
Binafsi matamshi yake katika utangazaji yalikua yanatia Kinyaa kama unapenda matamshi sasa hihi na fasaha ya kiswahili kwa hilo sijaona pengo naona nafuu maana tv aliyohamia hata muda wa kuingalia sina.
Bora angeenda Azam au hata star Tv huko alipoenda naweza pita miaka 2 sijafungua hiyo channel sababu vipindi vinaboa taarifa zao picha sio clear yaani ni yakizee haswaaa mara ya mwisho kuangalia Tbc kipindi cha chereko kilipokuwa hot mtangazaji sijui glory nani alivyotoka yule mtangazaji nikapotea na mie Sam hukuona nafasi hata Efm au TV1 kweliiii au ungeenda hata sibuka tv
Mnasemaje kapotea? Huenda kaahidiwa donge nono na longer term contract. Pia kule yupo karibu kabisa na uDC. Sometimes kuna watu wanaweka fame pembeni na kujiangalia future yao.