Sam Mahela mbona sikuelewi?

Sam Mahela mbona sikuelewi?

Mimi ananiachaga hoi anapobana midomo halafu anasema.. Mimi ni sama mahela (anatulia kidogo, anarudisha shingo nyuma kama ndege fulani kule kwetu wanaitwa nyamwiduli, kisha anapeleka shingo mbele) halafu anabinua mdomo anamalizia... Wa aitivi.
Kuna siku alikuwa anasoma Chiku Lweno sasa wakati sam anaripoti, alipobinua mdomo tu na kutulia kidogo akakatwa.
hahahahahah nimecheka sana
 
Ni waandishi na watangazaji wachache tanzania wasio wanaCCM. Mbele ya zawadi ya ukuu wa wilaya wengi walijisahau na wameua taaluma.Vumilieni ipo siku watajitambua!
Tatizo s ukuu wa wawilaya, CCM n chama kkubwa na kkongwe lazma kiwe na wafuasi wengi, yaani kati ya kumi saba n Sisiem...
 
Anataka nae apate pande alilopewa mtangulizi wake. Nimeshindwa kumalizia hata kipindi maana Sijaona kipya.
 
Back
Top Bottom