SALUUUT KWA akina MAMA WALIO KWENYE NDOA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SALUUUT KWA akina MAMA WALIO KWENYE NDOA.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smarty, Mar 8, 2011.

 1. S

  Smarty JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  Nawapa big up kwa haya mnayotufanyia kila siku!
  ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!


  UNAZAA NJE YA NDOA: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

  UNARUDI USIKU WA MANANE UKIWA MTUNGI: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.


  UNAAMKA ASUBUHI NA MAHANGOVER: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa Supu na kuzimua. Wala halalamiki!


  CHAKULA CHA USIKU: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!


  UNAJIANDAA KWENDA KIBARUANI: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki kiasi kwamba nzi akijigonga kwa bahati mbaya anakatika vipande, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi Ulichomuudhi jana kashasahau na kakusamehe!


  UNAMPA UJAUZITO: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!


  Na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini WANASAMEHE, WANAVUMILIA! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu! ( DG, 2008)

  HIVI INGEKEWA WANAUME
  TUNAFANYIWA HIVI
  INGEKUWAJE?

   
 2. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  there is no way u can find words to explain what our beloved wives do to us ... its impossible!! Upendo wao hauna masharti wala kipimo ... kwa kweli Mungu na aendelee kuwabariki hawa wamama wa watoto zetu!! na sie wanaume tuache kuwatenda wake zetu!!
   
 3. M

  Misosi Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
 4. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmhh!!! Ngoja nioe kwanza and then ntajibu hili suala kwa usahihi coz i have no experience!!!
   
 5. V

  Vumbi Senior Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mke ni mtu mwenye thamani sana katika maisha, japo ndoa inachangamoto zake lakini thamani ya mke ni kubwa kuliko changamoto hizo. Nawapogeza sana wanawake wote kwa kutu tunza na kulea ndoa zenu na kuvumilia changamoto nyingi kutoka kwa wanaume, nawapenda sana na mungu awabariki kwa yote mnayotutendea kwa maslahi yetu na familai kwa ujumla.
   
 6. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mali na utajiri ni vitu vya dunia,binadamu hutafuta na kupata bali MKE MWEMA mtu hupewa na bwana mungu. NA MTU ASIMDHARAU MKE WA UJANA WAKE!! yes ni ubavu wa mwanaume!!
  naungana na wewe kuwapa baraka wamama walio kwenye ndoa.
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  aksante sn! Mungu akubarik na wewe pia.
   
 8. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,268
  Likes Received: 1,419
  Trophy Points: 280
  Unadhani ananyamaza bure, natulizwa na wajuzi wa mambo.

  Ukimwona kobe katulia, jua kuna kinachoendelea mawazoni mwake.

  Mwenye hekima angeuliza kulikoni?
   
 9. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wanawake ni viumbe vya ajabu sana hawana kinyongo wala chuki sidhani kama kuna mwanaume anaeweze kukubaki mke wake akasex na mwanaume mwingine kisha arudi kwako na uendelee na mapenzi ya kawaida lakini mwanaume unakuwa na wake wawili au watatu au hata mia (kama mzee kikuku wa kenya) na wote wanajuana na wanapendana kushea ile kitu,

  mwanamke atakufumania unasex na mwanake mwingine au housegerl kitandani kwako bado atakusamehe na usiku atakupa mzigo
   
 10. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aksnte kwa kuyatambua hayo yoote
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wasikudanganye Engineer!
  Hao ni wale wa mwaka 47! Hawa wa siku hizi thubutu umletee upuuzi huu!
   
 12. S

  Smarty JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  asante kwa kuendelea kutuvumilia. Hii dunia ingekuwa sehemu mbaya ya kuishi bila nyinyi kuwepo. Nawapenda sana!
   
 13. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #13
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Aksante kwa kutupenda maana upendo wenu ni wa thamani sana kwetu.
   
 14. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  bora umesema mwaya asante kwa upendo wako
   
 15. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #15
  Mar 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Wakwangu ni kijana lakini nashkuru mungu bado ana hz tabia za miaka ya 47.
   
 16. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ingawa sio yote yaliyoongelewa mimi nayafanya lkn mke wangu anajithidi kunivumilia i will luv for the rest of ma life in this world.
  Baadhi ya mambo sikuyatambua
   
 17. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kwi kwiiiii kwi kwiiiiii mwanake gani alietayari kubeba upuuuzi huu lol labda kama yupo after something!!! asubiri umletee magonjwa tuu!!! bora nijirudie kwetu au kuanza life yangu mwenyewe :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
   
 18. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kuvumiliana kupo na ndio maana watu wanakaa miaka chungu nzima kwenye ndoa bila kuachana.Lakini isijengeke dhana kuwa wanaume wanaweza kufanya upuuzi wa kila aina kwa wake zao,wakitarajia msamaha.

  Kuandika haya mambo kama vile nio ukweli wa msahafu ni upotoshaji.Wanaume na wanawake walio kwenye ndoa wanachukuliana na kuvumiliana japo kiwango cha wanawake cha uvumilivu ni kikubwa zaidi ya kile cha wanaume.

  Tujitahidi kueneza mazuri badala ya kukazia mabaya.Kwamba unatambua mabaya wanaume wanayowafanyia wanawake ni vizuri lakini isiwe kama ndio sababu ya kuendekeza ujinga.Tunawafundisha nini watoto au kizazi kipya?
   
 19. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapo nilipopigia mstari angalia saaana usije ukajidanganya. Inawezekana na wewe anakuchakachua na jamaa la nje sasa wewe ukiwa ***** utatafuniwa kishenzi huna habari unadhani unapendwa.
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mh kweli kwa uvumilivu huo, mke anastahili pongezi. badhi naweza vumilia ila yakizidi akuuuu
   
Loading...